-
Meseji Za Kumtoa Nyoka Pangoni
Siamini wanaposema kuwa kuna kitu kinachoitwa kupenda kwa kuona mara ya kwanza kwa sababu kila nikikuona nakupenda zaidi na zaidi. Kama mimi ni mfalme katika himaya yangu, basi himaya yangu haiwezi kukamilika kama…
-
SMS Za Mapenzi Moto Moto
Wewe ni mpenzi wangu na umenipatia sababu milioni kwa mimi kutabasamu kila siku. Wewe ni mpenzi wangu bora zaidi. Wewe ni zawadi ambayo nimeletewa na Mwenyezi Mungu na nitaitunza na kuilinda daima. Mapenzi…